




Maonyesho ya sikukuu ya wakulima Kitaifa 2006 yalifanyika mkoani arusha Katika viwanja vya Themi njiro, TAPO tulishiriki kikamilfu katika kuelimisha jamii kuhusiana na masula mbalimbali yanayohusu haki za wanyama na viumbe wote kwa ujumla, lengo letu lilikuwa kuelimisha na wala siyo kufanya biashara kama washiriki wengine walivyofanya.
No comments:
Post a Comment