TAPO Logo

TAPO Logo

Wednesday, April 04, 2007

Uchafuzi wa Mazingira



Hii ni sehemu moja ya jiji la arusha ambako binadamu na viumbe wengine wanatumia maji katika mto huu, lakini kumekuwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira katika mto huu ambapo takataka nyingi hutupwa na kuachwa hapo kwa muda mrefu ambazo nyingi zia madhara kwa viumbe hai wengi hasa wanyama kwa kumeza bidhaa za plastiki na kuwasababishia vifo, tujali mazingira tujali wanyama na viumbe hai wote kwa kuweka Arusha safi

Mbuzi akila katika takataka