TAPO Logo

TAPO Logo

Thursday, November 02, 2006

Mateso ya Ng'ombe Pugu Mnadani

Wanyama aina ya Ng'ombe katika mnada wa pugu wanateswa sana kiasi kwamba inatia shaka katika jamii ya watanzania kuwa wengi kati yetu wanawatendea wanyama vibaya sana na kuonyesha kuwa wanajali pesa tu kuliko kuwapatia hali bora wanyama hao hata kama wanachinjwa.
Tunahitaji msaada mkubwa wa kukabiliana na tatizo hili kwa yeyote yule Tafadhali wasiliana nasi kwa simu 0756 027419 au email tap_org@yahoo.com


No comments: